Salamu – Julai, 2010

Tunamshukuru Mungu atupaye uzima na kutupa nafasi ya kuuona mwezi huu wa saba, hizi ni salamu zetu kwako mpendwa , Fungua (Mhubiri 12:13) “Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa, Mche Mungu, nawe uzishike amri zake maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu” Bwana Yesu Akubariki sana.