Masomo kwa njia ya Vitabu

Unaweza kupata masomo mengi sana ya biblia ambayo yatakupa mwanga juu ya wokovu na kazi ya Mungu, maisha yanayompendeza Mungu na pia juu ya Ufalme wa Mbinguni ambao Yesu Kristo ameenda kutuandalia wafuasi wake..

Viko vitabu vingi sana ambavyo tumekuandalia upate ufahamu na maarifa ili shetani asikurubuni. “Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa…..” Sasa usikose maarifa ukaangamia! Pia unaweza kupata kitabu chochote kati ya hivi kwa ku-download kisha kusoma kwa wakati mzuri zaidi katika Kompyuta yako ama ukachapisha. Vitabu hivi ni bure na waweza kumpa jirani yako ili Neno la Mungu lienee zaidi. Mafundisho yanatufanya tuimarike kiimani na kimatendo.

Karama za Rohoni (Sehemu ya Kwanza)

Karama za Rohoni
(Sehemu ya Kwanza)

 

Kitabu cha Ndoa (Sehemu ya Kwanza)

Kitabu cha Ndoa
(Sehemu ya Kwanza)

Kitabu cha Vizuizi vya Mafanikio

Vizuizi vya Mafanikio
Sehemu ya Eneo Unaloishi

Kuchangia Huduma

Kwa njia ya Benki
NMB Plc Mbalizi Road
Soma Neno la Mungu
A/C No.: 6102301768
Swift Code NMIBTZTZ

Kwa njia ya Simu
0767525544 – M-Pesa
0655515585 - Tigo
0787796626 - Airtel