Masomo ya Biblia

Unaweza kupata masomo mengi sana ya biblia ambayo yatakupa mwanga juu ya wokovu na kazi ya Mungu, maisha yanayompendeza Mungu na pia juu ya Ufalme wa Mbinguni ambao Yesu Kristo ameenda kutuandalia wafuasi wake..

Masomo ya Biblia

Book-iconMasomo kwa vitabu ni mtiririko wa masomo ya aina mbalimbali ambayo yameandaliwa kukulisha Neno la Mungu upate maarifa, soma vitabu hivi kwa njia ya mtandao na unaweza kupata nakala ya vitabu hivi kwa ku-download na kutunza kwenye komputa yako ama unaweza kuchapisha nakala yako

Nakala za vitabu hivi kwa njia ya mtandao ni bure hivyo unaweza kuvisambaza kwa ndugu na jamaa kwa njia ya mtandao (kwa uwashirikisha ukurasa huu) ili Neno la Mungu liweze kuenea kwa kila mmoja na familia ya Kristo Yesu kukua zaidi, kwa jinsi hiyo watu wengi zaidi watapata wokovu. Kama utahitaji kitabu kilichochapiswa kwa ubora mzuri, tafadhali wasiliana nasi kupitia hapa ili kufanya utaratibu wa kuvichapisha na kukufikishia popote ulipo kwa malipo kidogo ya gharama za uchapishaji ambayo tutakujulisha baada ya kupokea maombi yako

Soma zaidi…

audio_iconMasomo kwa sauti ni mtiririko wa masomo ya aina mbalimbali ambayo yameandaliwa kukulisha Neno la Mungu upate maarifa, sehemu kubwa ya mafundisho haya ni semina (za siku kadhaa) ambazo zimekuwa zikiendelea sehemu nyingi nchini Tanzania pamoja na baadhi ya masomo maalumu mafupi ambayo yameandaliwa kwa sababu maalumu ili kufikisha ujumbe ambao Mungu amekusudia kuufikisha

Nakala za masomo haya katika mfumo wa CD za Audio zinaweza kupatikana kwa order ili ziandaliwe na kutumwa kwako popote ulipo (utachangia kiasi kidogo sana kwa ajili ya nakala na usafirishaji). Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia hapa ili kupata maelezo zaidi

Soma zaidi…

video-iconMasomo kwa Video ni mtiririko wa masomo ya aina mbalimbali ambayo yameandaliwa kukulisha Neno la Mungu upate maarifa, sehemu kubwa ya mafundisho haya ni semina (za siku kadhaa) ambazo zimekuwa zikiendelea sehemu nyingi nchini Tanzania pamoja na baadhi ya masomo maalumu mafupi ambayo yameandaliwa kwa sababu maalumu ili kufikisha ujumbe ambao Mungu amekusudia kuufikisha

Nakala za masomo haya katika mfumo wa DVD na CD za Video yanaweza kupatikana kwa order maalumu ili yaandaliwe na kutumwa kwako popote ulipo (utachangia kiasi kidogo sana kwa ajili ya nakala na usafirishaji). Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia hapa

Soma zaidi…

Kuchangia Huduma

Kwa njia ya Benki
NMB Plc Mbalizi Road
Soma Neno la Mungu
A/C No.: 6102301768
Swift Code NMIBTZTZ

Kwa njia ya Simu
0767525544 – M-Pesa
0655515585 - Tigo
0787796626 - Airtel