Salamu za Mwezi

Salamu – Nov, 2017

Bwana Yesu Kristo apewe sifa sana. Tunamshukuru Mungu ambaye ametupa huu mwezi wa kumi na moja.  Ni neema kwakweli ya kuuona huu mwezi . Katika mwezi uliopita tulikua na semina nyingi kwakweli. Na zilikua nzuri sana. Tulikua na semina Mbeya mjini. Semina ya wanawake...

Salamu – Oct, 2017

Mimi Steven na mke wangu Beth tunawasalimu Ndugu zetu katika Bwana. Sisi ni wazima tunamshukuru Mungu. Tumekuletea leo Salamu za mwezi. Hizi ni salamu za mwezi wa kumi. Kumbuka mwezi uliopita tulikuletea mfululizo wa somo ambalo tunaendelea nalo  lenye kichwa MAMBO...

Salamu – Sep, 2017

Bwana Yesu Kristo apewe sifa sana. Ninawasalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo aliye hai. Ni imani yangu kuwa Mungu ameendelea kukutunza na kukupatia nafasi ya kuuona mwezi huu. Katika mwezi uliopita tulikua na semina Tukuyu mjini ilikua nzuri sana. Na tulipomaliza...

Salamu – Aug, 2017

Bwana Yesu Kristo apewe sifa sana. Mimi na familia yangu ni wazima. Tunamshukuru Mungu sana ambaye ametupa nafasi hii ya kukuletea salamu za mwezi wa Nane. Mwezi wa saba tumekua na semina mbili kubwa. Tulikua na semina ya watumishi wa Mungu maaskofu na wachungaji...

Salamu – Jul, 2017

Bwana Yesu asifiwe sana sana!! Mimi na familia yangu ni wazima, tunawashukuru kwa Maombi yenu Mungu ametupa kuuona tena mwezi huu wa saba. Mwezi uliopita tulikua na semina Vwawa, tukafanya semina Itili Moravian, tukafanya semina Uyole katika kanisa la Anglican, na...

Kuchangia Huduma

Kwa njia ya Benki
NMB Plc Mbalizi Road
Soma Neno la Mungu
A/C No.: 6102301768
Swift Code NMIBTZTZ

Kwa njia ya Simu
0767525544 – M-Pesa
0655515585 - Tigo
0787796626 - Airtel