Salamu za Mwezi

Salamu – Sep, 2017

Bwana Yesu Kristo apewe sifa sana. Ninawasalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo aliye hai. Ni imani yangu kuwa Mungu ameendelea kukutunza na kukupatia nafasi ya kuuona mwezi huu. Katika mwezi uliopita tulikua na semina Tukuyu mjini ilikua nzuri sana. Na tulipomaliza...

Salamu – Aug, 2017

Bwana Yesu Kristo apewe sifa sana. Mimi na familia yangu ni wazima. Tunamshukuru Mungu sana ambaye ametupa nafasi hii ya kukuletea salamu za mwezi wa Nane. Mwezi wa saba tumekua na semina mbili kubwa. Tulikua na semina ya watumishi wa Mungu maaskofu na wachungaji...

Salamu – Jul, 2017

Bwana Yesu asifiwe sana sana!! Mimi na familia yangu ni wazima, tunawashukuru kwa Maombi yenu Mungu ametupa kuuona tena mwezi huu wa saba. Mwezi uliopita tulikua na semina Vwawa, tukafanya semina Itili Moravian, tukafanya semina Uyole katika kanisa la Anglican, na...

Salamu – Jun, 2017

Ninawasalimu katika jina la Bwana wetu mwema Yesu Kristo. Mimi na familia yangu ni wazima kabisaa tunamshukuru Mungu. Tumekua na mfululizo wa semina mbalimbali na tumemuona Mungu akitufundisha na kuwaleta watu kuja kujifunza. Tunawashukuru watu wote wanaotuombea na...

Salamu – Mei, 2017

Nina wasalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Ninamshukuru Mungu ambaye anatutunza na kutupa uzima kila siku. Ninaamini hata wewe Mungu kakupatia uzima na kukutunza. Tumekua na semina nyingi mwezi uliopita wa nne. Kwakweli tumemuona Mungu akiwafungua watu wengi na...

Kuchangia Huduma

Kwa njia ya Benki
NMB Plc Mbalizi Road
Soma Neno la Mungu
A/C No.: 6102301768
Swift Code NMIBTZTZ

Kwa njia ya Simu
0767525544 – M-Pesa
0655515585 - Tigo
0787796626 - Airtel