Author Archives: Husonemu Admin

Salamu – Julai, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Mimi na familia yangu ni wazima tunamshukuru Mungu sana aliyetupigania na kututunza. Nimekuletea mfululizo wa salamu zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tusogee mbele kidogo tujifunze eneo hili la maana ya […]

Salamu – Aprili, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwesana. Naamini Mungu ameendelea kukutunza na kukupigania. Nikukaribishe tena ndugu yetu katika kona hii ya salamu za mwezi. Hizi ni salamu za mwezi wa nne, kumbuka tuna salamu zenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tusogee mbele katika kujifunza somo hili MADHARA YA KUTOKUSIKIA MATESO […]

Salamu – Machi, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena katika kona hii ya salamu za kila mwezi. Kumbuka tunasalamu zenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tusogee mbele tena…. KUWA NA MASIKIO SI TIKETI KUWA WEWE UNASIKIA Biblia inatufundishakuwa mwanadamu tena mtumishi wa Mungu akawa na masikio lakini asisikie “Sikilizeni, […]

Salamu – Disemba, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ninakukaribisha tena katika eneo hili la salamu za mwezi. ili tupate kujifunza somo hili muhimu. Hizi ni salamu za mwezi wa kumi na moja Kumbuka tunamfululizo wa salamu zenye kichwa. MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA ULIMWENGUNI) JIFUNZE KUTUMIA CHAKULA CHA MAALUMU KATIKA […]

Salamu – Novemba, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ninakukaribisha tena katika eneo hili la salamu za mwezi. ili tupate kujifunza somo hili muhimu. Hizi ni salamu za mwezi wa kumi na moja Kumbuka tunamfululizo wa salamu zenye kichwa. MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA ULIMWENGUNI) JAMBO LA YA KUMI NA MOJA […]

Salamu – Octoba, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ninakukaribisha tena katika eneo hili la salamu za mwezi. ili tupate kujifunza somo hili muhimu. Mungu ametupa mwezi huu wa kumi tunamshukuru sana. Hizi ni salamu za mwezi wa kumi Kumbuka tunamfululizo wa salamu zenye kichwa. MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA ULIMWENGUNI) […]