Mawasiliano

Njia za kuwasiliana nasi moja kwa moja

Kuchangia Huduma

Wasiliana Nasi Leo — Changia Huduma

Imekuwa vema sana kumtumikia Mungu kwa njia hii. Tafadhali ungana nasi katika kulifikisha Neno la Mungu kwa watu wote na Mungu atakuzidishia baraka zake kwa kazi unayofanya.

Kwa njia ya Benki — Ndani ya Tanzania
Tawi: NMB Plc Mbalizi Road
Jina la Akaunti: Soma Neno la Mungu
Akaunti Namba: 6102301768

Ikiwa ni hundi, andika kwa Soma Neno la Mungu.

Tutashukuru kama utajisikia uhuru kutuandikia jina lako unapotutumia mchango wako ili tuweze kukushukuru na kukuombea zaidi na kukufahamisha ikiwa tumeshapata mchango wako. Mungu akubariki sana.
Kwa njia ya Benki — Nje ya Tanzania
Tumia taarifa za akaunti hapo juu pamoja na Swift Code NMIBTZTZ.

Ikiwa ni hundi, andika kwa Soma Neno la Mungu.

Tutashukuru kama utajisikia uhuru kutuandikia jina lako unapotutumia mchango wako ili tuweze kukushukuru na kukuombea zaidi na kukufahamisha ikiwa tumeshapata mchango wako. Mungu akubariki sana.
Kwa njia ya Simu ya Mkononi (M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money)
0767525544 — M-Pesa
0655515586 — TigoPesa
0787796626 — Airtel Money
C. Chalange [Mkurugenzi — Raslimali]

Tutashukuru kama utajisikia uhuru kutuandikia jina lako unapotutumia mchango wako ili tuweze kukushukuru na kukuombea zaidi na kukufahamisha ikiwa tumeshapata mchango wako. Mungu akubariki sana.
Ikiwa ni Kitu au Vitu
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu au barua pepe kutuelekeza jinsi ya kupata mchango wako kwa urahisi. Tutafurahi kupokea mchango wako.

Tutashukuru kama utajisikia uhuru kutuandikia jina lako unapotutumia mchango wako ili tuweze kukushukuru na kukuombea zaidi. Mungu akubariki sana.

Tuma Ujumbe

Jaza fomu; programu yako ya barua pepe itafunguka na ujumbe uliotayarishwa kwa anwani yetu ya mawasiliano.