Salamu – Mei, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe, Tunamshuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa tano. Tunamshukuru Sana Mungukwa mwezi uliopita tulikua na semina nzuri sana pale Bethania Mbalizi. Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupa neema hii ya kutupatia salamu za mwezi huu. Kumbuka tunakichwa cha salamu zenye kichwa JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA […]

Salamu – Novemba, 2024

BwanaYesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kumi na moja. Kabla hatujaendelea Mbele nataka nikupe tasrifa hii. tarehe 28-31/12/2025 Tutakua na kambi ya maombi.Tutafanyia jijini Mbeya kwenye shule ya St Marys Kadege.Tunaanza saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Namna ya […]

Salamu – Septemba, 2024

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nimekuletea salamu ya mwezi wa tisa. katika mwezi huu tunamshukuru Mungu sana kwakutulinda nakutupigania Mwezi uliopita tulikua na semina kubwa ya watumishi yaani maaskofu na wachungaji. Ilikuas emina nzuri sana. Hebu tuanze kuzipokea salamu za Mwezi huu wa tisa. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]

Salamu – Agosti, 2024

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. ni siku nyingine tumepewa katika mwezi huu wa nane, Tunamshukuru Mungu kutupa mwezi huu. Mwezi uliopita tulikua na semina tatu mfululizo. Tulikua na semina Chunya mjini tulipomaliza tukaenda Chimala na tukaenda Ubaruku. Tulikua na semina nzuri sana. Hebu tusongee mbele. kumbuka tunasalamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]