Salamu – Mei, 2022

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Naamini unandelea vema; ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu mwezi uliopita tumekua na semina nyingi mnoo. Na mwezi huu wa tano tumeendelea kuwa na semina nyingi. Tumekua na semina Dodoma, Kibaigwa na tukaelekea Katavi huko Mpanda na hivi ninavyokuletea salamu hizi tupo Sumbawanga mjini. Tunazifanya semina hizo ndani ya hema letu linalotembea. […]

Salamu – Machi, 2022

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Namshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliangalia eneo la SABABU ZINAZO WEZA KUSABABISHA JERAHA NAFSINI. Na tuliiangalia sababu […]

Salamu – Februali, 2022

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Huu ni mwezi wa pili, katika mwezi uliopita tumekua na semina nyingi ambazo kwa kweli tumemuona Mungu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi..kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliona maeneo matatu […]