Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ni siku njema tumepewa na Mungu. Tumepewa tena mwezi huu wa nne. Mwezi uliopita tumekua na semina KKKT Uyole. Ilikua semina nzuri sana. Ebu tuanze kuziangalia tena salamu za mwezi wa nne. Kumbuka tuna somo lenye kichwa… JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO […]
Author Archives: Husonemu Admin
Bwana Yesu Kristo asifiwe, tunamshukuru Mungu ametupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuangalia salamu ya mwezi wa tatu. Kumbuka tunaendelea na salamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA Hebu tuendelee mbele kidogo. 3: ILI UONE MAONO NA […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe, mwezi huu ni mwezi wa pili wa mwaka huu. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa pili. Tunamshukuru sana kwa mwezi wa mwanzo wa mwaka, mwezi uliopita tumekua ratiba ya mapumziko kwetu. Na kujipanga kwa ajili ya kazi za mwaka. Tunamshukuru Mungu aliyetupa mapumziko na upangaji wa kazi kwa mwaka huu. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi, huu ni ni mwezi wa kwanza Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kwanza ukiwa ndio mwezi wa mwanzo wa mwaka huu wa 2025. Tunamshukuru Mungu ametulinda mnoo katika mwaka uliopita…Tulikua na kambi la maombi zuri sana. Naamini kila aliyehudhuria maombi hayo […]
BwanaYesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Ni mwezi wa kumi na mbili. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kumi na mbili ukiwa ndio mwezi wa mwisho wa mwaka huu wa 2024 Kwa hiyo tuta kua na salamu za mwisho wa mwaka. Ni neema tu kuuona mwezihuu. Kabla hatujaenda […]
BwanaYesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kumi na moja. Kabla hatujaendelea Mbele nataka nikupe tasrifa hii. tarehe 28-31/12/2025 Tutakua na kambi ya maombi.Tutafanyia jijini Mbeya kwenye shule ya St Marys Kadege.Tunaanza saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Namna ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tena kwenye kona hii ya salamu za mwezi. Tunamshukjru Mungu. ametupa mwezi wa kumi. Karibu ili tupokee salamu za mwezi wa kumi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA) ROHO MTAKATIFU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nimekuletea salamu ya mwezi wa tisa. katika mwezi huu tunamshukuru Mungu sana kwakutulinda nakutupigania Mwezi uliopita tulikua na semina kubwa ya watumishi yaani maaskofu na wachungaji. Ilikuas emina nzuri sana. Hebu tuanze kuzipokea salamu za Mwezi huu wa tisa. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. ni siku nyingine tumepewa katika mwezi huu wa nane, Tunamshukuru Mungu kutupa mwezi huu. Mwezi uliopita tulikua na semina tatu mfululizo. Tulikua na semina Chunya mjini tulipomaliza tukaenda Chimala na tukaenda Ubaruku. Tulikua na semina nzuri sana. Hebu tusongee mbele. kumbuka tunasalamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.Ninamshukuru Mungu ambaye ametupa mwezi huu wa saba. Mwezi huu tumekua na semina tatu, tumekua na semina Chunya,Chimala na Ubaruku. Semina hizi zilikua nzuri sana.Ndani ya mwezi huu wa saba tunatarajia kuwa na mkutano mkubwa wa semina ya watumishi kutokea nchi mbalimbali.Tutafanyia huko Arusha tuombee. Nimekuletea salamu za mwezi. Hebu tusogee […]