Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nichukue nafasi hii kukukaribisha katika eneo hili la salamu za Mwezi.. na salamu hizi ni za mwezi huu wa sita.. Naamini umepata neema ya kuiingia mwezi huu wasita..mwezi ulio katikati ya mwaka. Kwetu Mwezi wa tano uliopita ulikua mzuri sana, kwani tulikuwa na semina nyingi mnoo..Tulianzia Dodoma huko Kibaigwa katika […]
Author Archives: Husonemu Admin
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Naamini unandelea vema..ni namshukuru sana mwezi uliopita tumekua na semina nyingi mnoo..na Mwezi huu wa tano tumeendelea kuwa na Semina nyingi .. Tumekua na semina Dodoma Kibaigwa na tukaelekea Katavi huko Mpanda na hivi ninavyokuletea salamu hizi tupo Sumbawanga mjini Tunazifanya semina hizo ndani ya hema yetu inayotembea….usiache kutuombea. Nimekuletea […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Naamini unandelea vema. Na ni imani yetu kuwa mwezi uliopita ulibarikiwa na salamu zetu za mwezi tulizo kutumia. Mungu akubariki pia kwa nafasi unayoitoa kwa kusoma na hata kwa kutuombea. Nimekuletea salamu za mwezi wa nne, naomba zipokee! Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Namshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliangalia eneo la SABABU ZINAZO WEZA KUSABABISHA JERAHA NAFSINI. Na tuliiangalia sababu […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Huu ni mwezi wa pili, katika mwezi uliopita tumekua na semina nyingi ambazo kwa kweli tumemuona Mungu. Ebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi..kumbuka tuna salamu zenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Katika salamu zilizopita tuliona maeneo matatu […]
WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninamshukuru Mungu mno ambaye ametupa kuuona mwaka huu mpya, ni neema. Hizi ni salamu zetu za mwezi huu wa kwanza, na tutaenda nazo kwa kila mwezi kwa salamu mfululizo mpaka pale tutakapo zimaliza. Hebu zipokee na Roho Mtakatifu akufundishe vema; karibu. Sikia, […]
SALAMU ZA MWEZI WA KUMI NA MOJA 2021 Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nichukua nafasi hii kukukaribisha ndugu yangu katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru Mungu muumbaji aliyetupa nafasi hii ya kuuona tena mwezi huu wa kumi na moja. Naamini Mungu amekupigania katika mambo mengi mnoo. Hebu jiachie kwake atakutunza na kukupigania. Hebu […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena katika sehemu hii ya salamu za mwezi. Hizi ni salamu zetu za mwezi wa kumi karibu uzipokee. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Baada ya kujifunza eneo la maana ya kwanza ya neno kusikia na namna unavyoweza kusikia. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu ambaye ametutunza Mimi na familia yangu na kutupigania na kutupa mwezi huu wa tisa. Mwezi huu Nimekuletea mfululizo wa salamu zetu kwako zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.. ni imani yangu wewe ni mzima…nikupe pole na magumu yoote uliyokutana nayo naamini Mungu atakupigania na kukuvusha salama katika pito unalopitia Nikukaribishe kwenye kona hii ya salamu za mwezi, naamini umekua ukilifuatilia somo vizuri. Kumbuka tunasomo lenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. […]