BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANAPole na kazi zote, tunamshukuru Mungu ametupa mwezi huu wa kumi.Hebu tuanze kupokea salama za mwezi wa kumi. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA) JIFUNZE KUOMBA KINABII Angalia mistari hii:“5 Nami nataka ninyi nyote mnene kwa […]
Category Archives: Salamu za Mwezi
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Katika mwezi uliopita tulikuwa na semina huko Kigoma, Katavi, Rukwa na Sumbawanga. Tunawashukuru sana kwa maombi yenu. Tulikutana na tatizo kwenye lori letu. Wakati tunaenda Kigoma, lilichelewa sana kufika kule. Kule tukafanyia semina kiwanjani kwa kukodi hema, viti na vyombo. Tulikutana […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe, Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupa siku nyingine ya mwezi huu wa nane.Mwezi wa saba tumekuwa na semina za Chimala na Ubaruku. Zilikuwa semina nzuri sana. Hebu tuanze kuzitazama salamu za mwezi wa nane: JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe,Tunamshukuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa sita. Tumeumaliza mwezi wa tano tukiwa tumekuwa na semina mbili.Katika mwezi wa saba tumekuwa na semina tatu: Itigi, Manyoni, na Mvumi. Tulikuwa na semina nzuri sana katika maeneo hayo. Hebu tuanze kuzitazama salamu za mwezi wa saba. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe!Tunamshukuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa sita. Tumeumaliza mwezi wa tano, tumekuwa na semina mbili. Tulikuwa na semina ya Wanawake huko Sumbawanga mjini na tukawa na semina jijini Mbeya ndani ya Hema pale Otu. Tulikuwa na semina nzuri sana. Hebu tuanze kuzitazama salamu za mwezi wa sita. Kumbuka […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe, Tunamshukuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa tano. Tunamshukuru sana Mungu kwa mwezi uliopita tulipokuwa na semina nzuri sana pale Bethania Mbalizi. Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupa neema hii ya kutupatia salamu za mwezi huu. Kumbuka tunalo kichwa cha salamu hizi: JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ni siku njema tumepewa na Mungu. Tumepewa tena mwezi huu wa nne. Mwezi uliopita tumekua na semina KKKT Uyole. Ilikua semina nzuri sana. Ebu tuanze kuziangalia tena salamu za mwezi wa nne. Kumbuka tuna somo lenye kichwa… JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe, tunamshukuru Mungu ametupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuangalia salamu ya mwezi wa tatu. Kumbuka tunaendelea na salamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA Hebu tuendelee mbele kidogo. 3: ILI UONE MAONO NA […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe, mwezi huu ni mwezi wa pili wa mwaka huu. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa pili. Tunamshukuru sana kwa mwezi wa mwanzo wa mwaka, mwezi uliopita tumekua ratiba ya mapumziko kwetu. Na kujipanga kwa ajili ya kazi za mwaka. Tunamshukuru Mungu aliyetupa mapumziko na upangaji wa kazi kwa mwaka huu. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi, huu ni ni mwezi wa kwanza Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kwanza ukiwa ndio mwezi wa mwanzo wa mwaka huu wa 2025. Tunamshukuru Mungu ametulinda mnoo katika mwaka uliopita…Tulikua na kambi la maombi zuri sana. Naamini kila aliyehudhuria maombi hayo […]
