Category Archives: Salamu za Mwezi

Salamu – Fabruali, 2026

Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ninakukaribisha kwenye eneo hili la Salamu za Mwezi wa Pili. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa mwezi huu wa pili katika mwaka huu. Karibu uzipokee salamu hizi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa: JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA MIUJIZA NA UPONYAJI (SEHEMU YA PILI) Ebu tuendelee tukiangalia eneo lifuatalo: KARAMA […]

Salamu – Januari, 2026

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Heri ya mwaka mpya! Tunamshukuru Mungu kwa kutupa mwaka huu mpya. Mwezi uliopita tulikuwa na kambi ya 16 ya maombi. Ilikuwa kambi nzuri sana, na tunamshukuru Mungu kwa kila jambo alilotenda. Pia ninakualika karibu katika kambi ya 17 ya maombi, itakayofanyika […]

Salamu – Disemba, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Pole na kazi zote. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa mwezi huu wa kumi na mbili. Pia tunamshukuru Mungu kwa mwezi uliopita ambapo tulikuwa na semina nzuri ya watumishi wa Mungu. Tulikuwa na wachungaji, waalimu, mitume, wainjilisti, na viongozi wakuu wa kanisa kama maaskofu na wenyeviti. Tunamshukuru sana Mungu kwa mafanikio ya […]

Salamu – Novemba, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Pole na kazi zako zote. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa mwezi huu wa kumi na moja. Naamini Mungu amekupigania sana katika mwezi uliopita. Ninakuletea salamu za mwezi huu ili kwa pamoja tujifunze Neno la Mungu. UTANGULIZI Tunaanza kujifunza somo jipya lenye kichwa kisemacho: JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA […]

Salamu – Octoba, 2025

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANAPole na kazi zote, tunamshukuru Mungu ametupa mwezi huu wa kumi.Hebu tuanze kupokea salama za mwezi wa kumi. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA) JIFUNZE KUOMBA KINABII Angalia mistari hii:“5 Nami nataka ninyi nyote mnene kwa […]

Salamu – Septemba, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Katika mwezi uliopita tulikuwa na semina huko Kigoma, Katavi, Rukwa na Sumbawanga. Tunawashukuru sana kwa maombi yenu. Tulikutana na tatizo kwenye lori letu. Wakati tunaenda Kigoma, lilichelewa sana kufika kule. Kule tukafanyia semina kiwanjani kwa kukodi hema, viti na vyombo. Tulikutana […]

Salamu – Julai, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe,Tunamshukuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa sita. Tumeumaliza mwezi wa tano tukiwa tumekuwa na semina mbili.Katika mwezi wa saba tumekuwa na semina tatu: Itigi, Manyoni, na Mvumi. Tulikuwa na semina nzuri sana katika maeneo hayo. Hebu tuanze kuzitazama salamu za mwezi wa saba. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA […]