Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Namshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliangalia eneo la SABABU ZINAZO WEZA KUSABABISHA JERAHA NAFSINI. Na tuliiangalia sababu […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Huu ni mwezi wa pili, katika mwezi uliopita tumekua na semina nyingi ambazo kwa kweli tumemuona Mungu. Ebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi..kumbuka tuna salamu zenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Katika salamu zilizopita tuliona maeneo matatu […]
WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninamshukuru Mungu mno ambaye ametupa kuuona mwaka huu mpya, ni neema. Hizi ni salamu zetu za mwezi huu wa kwanza, na tutaenda nazo kwa kila mwezi kwa salamu mfululizo mpaka pale tutakapo zimaliza. Hebu zipokee na Roho Mtakatifu akufundishe vema; karibu. Sikia, […]
SALAMU ZA MWEZI WA KUMI NA MOJA 2021 Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nichukua nafasi hii kukukaribisha ndugu yangu katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru Mungu muumbaji aliyetupa nafasi hii ya kuuona tena mwezi huu wa kumi na moja. Naamini Mungu amekupigania katika mambo mengi mnoo. Hebu jiachie kwake atakutunza na kukupigania. Hebu […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena katika sehemu hii ya salamu za mwezi. Hizi ni salamu zetu za mwezi wa kumi karibu uzipokee. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Baada ya kujifunza eneo la maana ya kwanza ya neno kusikia na namna unavyoweza kusikia. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu ambaye ametutunza Mimi na familia yangu na kutupigania na kutupa mwezi huu wa tisa. Mwezi huu Nimekuletea mfululizo wa salamu zetu kwako zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.. ni imani yangu wewe ni mzima…nikupe pole na magumu yoote uliyokutana nayo naamini Mungu atakupigania na kukuvusha salama katika pito unalopitia Nikukaribishe kwenye kona hii ya salamu za mwezi, naamini umekua ukilifuatilia somo vizuri. Kumbuka tunasomo lenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Mimi na familia yangu ni wazima tunamshukuru Mungu sana aliyetupigania na kututunza. Nimekuletea mfululizo wa salamu zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tusogee mbele kidogo tujifunze eneo hili la maana ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.Ninamshukuru Mungu sana kwa kutupa nafasi ya kuuona mwezi huu. Naamini hata wewe Mungu amekupa nafasi ya kuuona mwezi huu wa sita katika mwaka 2021. Nimekuletea salamu za mwezi huu wa sita kumbuka tunasomo lenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tuendelee mbele kidogo […]
3: MADHARA YA TATU. KUPOKEA KITU BILA KUSIKIA UTAPOKEA SADAKA YA HILA Unaposoma Biblia unaona umuhimu wa kusikia jinsi ulivyo mkubwa. Moja ya eneo muhimu mno katika kusikia kwetu ni hili la kupokea vitu kutoka kwa watu. Unajua sisi wanadamu tunapenda mnoo kupokea vitu kutoka kwa watu.. sikiliza si kila kitu tunatakiwa tukipokee. Kuna vitu […]