Bwana Yesu Kristo asifiwe, mwezi huu ni mwezi wa pili wa mwaka huu. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa pili. Tunamshukuru sana kwa mwezi wa mwanzo wa mwaka, mwezi uliopita tumekua ratiba ya mapumziko kwetu. Na kujipanga kwa ajili ya kazi za mwaka. Tunamshukuru Mungu aliyetupa mapumziko na upangaji wa kazi kwa mwaka huu. […]
Category Archives: Salamu za Mwezi
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi, huu ni ni mwezi wa kwanza Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kwanza ukiwa ndio mwezi wa mwanzo wa mwaka huu wa 2025. Tunamshukuru Mungu ametulinda mnoo katika mwaka uliopita…Tulikua na kambi la maombi zuri sana. Naamini kila aliyehudhuria maombi hayo […]
BwanaYesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Ni mwezi wa kumi na mbili. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kumi na mbili ukiwa ndio mwezi wa mwisho wa mwaka huu wa 2024 Kwa hiyo tuta kua na salamu za mwisho wa mwaka. Ni neema tu kuuona mwezihuu. Kabla hatujaenda […]
BwanaYesu Kristo asifiwe. Karibu sana katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru sana Mungu ametupa mwezi huu wa kumi na moja. Kabla hatujaendelea Mbele nataka nikupe tasrifa hii. tarehe 28-31/12/2025 Tutakua na kambi ya maombi.Tutafanyia jijini Mbeya kwenye shule ya St Marys Kadege.Tunaanza saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Namna ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tena kwenye kona hii ya salamu za mwezi. Tunamshukjru Mungu. ametupa mwezi wa kumi. Karibu ili tupokee salamu za mwezi wa kumi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA) ROHO MTAKATIFU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nimekuletea salamu ya mwezi wa tisa. katika mwezi huu tunamshukuru Mungu sana kwakutulinda nakutupigania Mwezi uliopita tulikua na semina kubwa ya watumishi yaani maaskofu na wachungaji. Ilikuas emina nzuri sana. Hebu tuanze kuzipokea salamu za Mwezi huu wa tisa. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. ni siku nyingine tumepewa katika mwezi huu wa nane, Tunamshukuru Mungu kutupa mwezi huu. Mwezi uliopita tulikua na semina tatu mfululizo. Tulikua na semina Chunya mjini tulipomaliza tukaenda Chimala na tukaenda Ubaruku. Tulikua na semina nzuri sana. Hebu tusongee mbele. kumbuka tunasalamu zenye kichwa. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.Ninamshukuru Mungu ambaye ametupa mwezi huu wa saba. Mwezi huu tumekua na semina tatu, tumekua na semina Chunya,Chimala na Ubaruku. Semina hizi zilikua nzuri sana.Ndani ya mwezi huu wa saba tunatarajia kuwa na mkutano mkubwa wa semina ya watumishi kutokea nchi mbalimbali.Tutafanyia huko Arusha tuombee. Nimekuletea salamu za mwezi. Hebu tusogee […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ndugu zangu leo hii ninakuletea salamu za mwezi wa sita. Tunamshukuru sana kwa maombi yako. Mwezi wa tano tumekua na semina nyingi sana. Tulianza semina kwa hema ambalo Mungu ametupa na tunatumia kufundishia nchini na nje ya nchi. Tulianzia semina hizo jijini Mbeya. Tukaenda Kigoma mjini,Tukaenda Mpanda,Tukaenda Sumbawanga tukimaliza tunaenda Tunduma […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni mwezi mwingine Mungu ametupa. Mwezi uliopita tumekua na semina huko Makete. Tulikua na semina ya wanawake. Kila mwaka huduma hii aliyotupa Mungu tunaandaa semina maalumu kwa sjili ya wanawake. Na tunakuwa na semina mikoa mbalimbali. Mwaka huu tukawa na semina mkoa wa Njombe huko Makete. Ilikua semina nzuri sana. […]
