Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. mimi na familia yangu tunamshukuru sana Mungu. Siku zinakimbia huu ni mwezi wa pili.. Naamini umeanza kuuzoeza na kuona ni nini cha kufanya kwa mwaka huu. Mwezi uliopita tumekua na semina nzuri sana hapo Iyunga kwenye kanisa la Moravian tulikua na semina nzuri sana. Nimekuletea salamu za mwezi huu wa […]
Category Archives: Salamu za Mwezi
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. mimi na familia yangu tunamshukuru sana Mungu. Katika mwezi wa kumi na mbili tumekua na semina ya vijana na semina ya wanaume na kambi letu la maombi ambalo tunalifanya kila mwishoni mwa mwaka. Tulikua na kambi zuri sana.. Nikukaribishe mpendwa mwaka huu 2024 mwezi wa kumi na mbili tarehe 28-31/12/2024 […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. mimi na familia yangu tunamshukuru sana Mungu ambaye ametupa uzima na kutulinda katika mwezi uliopita. Katika mwezi wa kumi na moja tumekua na semina nzuri huko Katesh na Mvumi..Tunamshukuru Mungu alitusaidia sana. Mwezi huu wa kumi na mbili nimekuletea salamu hizi.. Kumbuka tunasomo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. mimi na familia yangu tunamshukuru sana Mungu ambaye ametupa uzima na kutulinda katika mwezi uliopita. Katika mwezi wa kumi tumekuwa na semina nzuri Chunya,Itigi na Manyoni.Semina hizi zilikua nzuri sana.Tulikutana na changamoto kubwa ya lori letu ambalo tunalitumia kubebea hema kuharibika njiani tukielekea Itigi. Ilitulazimu kukondi hema huko Itigi ili […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni neema kubwa tumepewa na Mungu na kutupa nafasi ya kuuona mwezi wa kumi. Mwezi huu nimekuletea salamu hizi. WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Salamu za mwezi ulipita nilikuonyesha namna ya kulishughulikia nafsi au moyo wako.Tuliona ili tuwena Moyo au nafsi iliyojeruhika iponywe au ilindwe tuliona kuomba. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana ndugu yangu katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru Mungu sana ambaye ametupatia uzima na amani. Bila kupotea muda nimekuletea somo la salamu za mwezi wa tisa.kumbuka tuna somo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Baada ya kujifunza eneo la kujua madhara ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana ndugu yangu katika eneo hili la salamu za mwezi.. Tunamshukuru Mungu sana ambaye ametupatia uzima na amani. Bila kupotea muda nimekuletea somo la salamu za mwezi wa tisa..kumbuka tuna somo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Baada ya kujifunza eneo la kujua madhara ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Kabla hatujaendelea mbele nichukue nafasi hii kuwashukuru sana kwa ajili ya semina ya Mbalari Chimala..tulikua na semina nzuri sana. Nimekuletea salamu ya mwezi wa nane.kumbuka tunasomo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO MTU MWENYE MAJERAHA AU UCHUNGU […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Tunamshukuru Mungu mwezi huuwa sita tumekuwa na semina nne kubwa, tumefanya semina kigoma, Katavi hapo Mpanda, Sumbawanga na Tunduma. Semina hizo zilikuwa vema sana. Tumemuona Zmungu katika semina hizo. Mwezi huu tuna semina moja Mbarali huko Chimala mkoa wa Mbeya. […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Mwezi wa Tano tumeanza semina huko Kigoma. Tumeanza semina vema usiache kutuombea. Kutoka nyumbani kwetu Mbeya mpaka huko Kigoma ni safari ndefu sana. Tunamshukuru Mungu tumefika salama na tumeanza semina. Hebu tuanze kupokea salamu za mwezi wa sita. Kumbuka tuna […]