Category Archives: Salamu za Mwezi

Salamu – Septemba, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ninakukaribisha tena katika eneo hili la salamu za mwezi. ili tupate kujifunza somo hili muhimu. Mungu ametupa mwezi huu wa tisa nani mwezi tunamshukuru sana. Nimekuletea salamu za mwezi huu wa tisa. Kumbuka tunamfululizo wa salamu zenye kichwa. MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA […]

Salamu – Agosti, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, Mimi na familia yangu ni wazima. Tunamshukuru Mungu. Nimekuletea mfululizo wa salamu za mwezi. Tuna salamu zenye kichwa MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA ULIMWENGUNI) Katika salamu za mwezi uliopita tuliangalia jambo, la sita nalo lilikua JAMBO LA SITA ACHA KUFANYA MAOVU […]

Salamu – Julai, 2020

Salamu – Juni, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni imani yangu kuwa Mungu amekupa uzima. Mi mi na familia yangu ni wazima tunamshukuru Mungu. Nimekuletea salama za mwezi wa sita. Naomba zipokeee. Kumbuka tunasomo lenye kichwa MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE WOKOVU (ENEO LA KUOKOLEWA KATIKA KIPINDI CHA MAJANGA ULIMWENGUNI) JAMBO LA SITA ACHA KUFANYA MAOVU ILI […]

Salamu – Aprili, 2020

Ni nawasalimu wapendwa woote katikajina la Bwana Yesu Kristo. Tunamshukuru sana Mungu ambaye ametupa mwezi huuwa nne. Naamini unajua kabisa kuwa kupewa mwezi mwingine ni neema kubwa mno. Hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia janga kubwa la tauni ya corona. Na hapa nchini imefika na tayari watu wengi wameambukizwa na wengine wamefariki na serekali […]

Salamu – Machi, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ndugu yangu naamini unaendelea vema. Mwezi uliopita yaani wa pili nchi yetu imetangaza rasmi kuhusu ugonjwa wa corona. Kumbuka salamu hizi ndani yake zimebeba maarifa ya nini ufanye ikiwa mtu utakutana na tauni kama hizi. Fanyia kazi yale Mungu atakufundisha katika somo hili. Mwezi uliopita tumekua na semina nyingi sana. […]