Salamu – Machi, 2020

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ndugu yangu naamini unaendelea vema. Mwezi uliopita yaani wa pili nchi yetu imetangaza rasmi kuhusu ugonjwa wa corona. Kumbuka salamu hizi ndani yake zimebeba maarifa ya nini ufanye ikiwa mtu utakutana na tauni kama hizi. Fanyia kazi yale Mungu atakufundisha katika somo hili. Mwezi uliopita tumekua na semina nyingi sana. […]