Author Archives: Husonemu Admin

Salamu – Octoba, 2025

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANAPole na kazi zote, tunamshukuru Mungu ametupa mwezi huu wa kumi.Hebu tuanze kupokea salama za mwezi wa kumi. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA MUNGU AKUPE KARAMA YA UNABII ILI UPATE KUFANIKIWA KIROHO WEWE NA WATU WENGINE (SEHEMU YA KWANZA) JIFUNZE KUOMBA KINABII Angalia mistari hii:“5 Nami nataka ninyi nyote mnene kwa […]

Salamu – Septemba, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Katika mwezi uliopita tulikuwa na semina huko Kigoma, Katavi, Rukwa na Sumbawanga. Tunawashukuru sana kwa maombi yenu. Tulikutana na tatizo kwenye lori letu. Wakati tunaenda Kigoma, lilichelewa sana kufika kule. Kule tukafanyia semina kiwanjani kwa kukodi hema, viti na vyombo. Tulikutana […]

Salamu – Julai, 2025

Bwana Yesu Kristo asifiwe,Tunamshukuru sana Mungu ametupa siku nyingine ya mwezi huu wa sita. Tumeumaliza mwezi wa tano tukiwa tumekuwa na semina mbili.Katika mwezi wa saba tumekuwa na semina tatu: Itigi, Manyoni, na Mvumi. Tulikuwa na semina nzuri sana katika maeneo hayo. Hebu tuanze kuzitazama salamu za mwezi wa saba. JIFUNZE KUTAKA KARAMA AU KUOMBA […]