Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ndugu yangu naamini unaendelea vema. Mwezi uliopita yaani wa pili nchi yetu imetangaza rasmi kuhusu ugonjwa wa corona. Kumbuka salamu hizi ndani yake zimebeba maarifa ya nini ufanye ikiwa mtu utakutana na tauni kama hizi. Fanyia kazi yale Mungu atakufundisha katika somo hili. Mwezi uliopita tumekua na semina nyingi sana. […]
Author Archives: Husonemu Admin
Ndugu yangu ninakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Nimekuletea salamu za mwezi huu wa pili. Mwezi wa kwanza umeanza kwetu tukiwa na semina Katika kanisa la Bethel Kkkt,tukawa na semina Chuo cha wachungaji cha Moravian Utengule na pia tulikua na semina maalumu ya shukrani jijini Mbeya. Semina hizi zilikua za baraka sana. Ebu tuanze […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nina kukaribisha mpendwa karibu katika kona hii ya salamu za mwezi. Kwanza tunamshukuru Mungu ambaye ametupa mwaka huu mpya. Ni neema kuuona. Naamini hata wewe mpendwa umepokea neema hii ya kuanza mwaka huu mpya kwa namna ya kipekee. Tumekua na semina nyingi sana mwaka jana tunaamini hata mwaka huu tunatarajia […]