Category Archives: Salamu za Mwezi

Salamu – March, 2022

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Namshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliangalia eneo la SABABU ZINAZO WEZA KUSABABISHA JERAHA NAFSINI. Na tuliiangalia sababu […]

Salamu – Februali, 2022

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Huu ni mwezi wa pili, katika mwezi uliopita tumekua na semina nyingi ambazo kwa kweli tumemuona Mungu. Ebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi..kumbuka tuna salamu zenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Katika salamu zilizopita tuliona maeneo matatu […]

Salamu – Novemba, 2021

SALAMU ZA MWEZI WA KUMI NA MOJA 2021 Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nichukua nafasi hii kukukaribisha ndugu yangu katika eneo hili la salamu za mwezi. Tunamshukuru Mungu muumbaji aliyetupa nafasi hii ya kuuona tena mwezi huu wa kumi na moja. Naamini Mungu amekupigania katika mambo mengi mnoo. Hebu jiachie kwake atakutunza na kukupigania. Hebu […]

Salamu – Septemba, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu ambaye ametutunza Mimi na familia yangu na kutupigania na kutupa mwezi huu wa tisa. Mwezi huu Nimekuletea mfululizo wa salamu zetu kwako zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO […]

Salamu – Agosti, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.. ni imani yangu wewe ni mzima…nikupe pole na magumu yoote uliyokutana nayo naamini Mungu atakupigania na kukuvusha salama katika pito unalopitia   Nikukaribishe kwenye kona hii ya salamu za mwezi, naamini umekua ukilifuatilia somo vizuri. Kumbuka tunasomo lenye kichwa VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. […]

Salamu – Julai, 2021

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha tena ndugu yangu katika kona hii ya salamu za mwezi. Mimi na familia yangu ni wazima tunamshukuru Mungu sana aliyetupigania na kututunza. Nimekuletea mfululizo wa salamu zenye kichwa. VIPAO MBELE VYA MAOMBI YAKO WEKA BIDII YA KUOMBEA MASIKIO YAKO. Hebu tusogee mbele kidogo tujifunze eneo hili la maana ya […]