Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.. Watoto wa Mungu ni siku nyingine. Tena nimewaletea salamu za mwezi.. Mwezi ulipopita tumekua na semina nyingi sana.. Tulikua na semina Manyoni,Itigi,Mvumi na Mpwapwa. Semina hizo tulifunga hema yaani tulifanyia nje.. Tumekuwa na semina nzuri sana sana.Nimekuletea salamu za mwezi wa kumi na moja. Kumbuka tunasalamu zenye kichwa WEKA BIDII […]
Author Archives: Husonemu Admin
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana..Tunamshukuru Mungu atupae uzima na furaha na amani. Nimekuletea salamu za mwezi wa kumi naomba zipokeee Kwanza nianze kuwashukuru kwa maombi yenu na sadaka mnazozito kwa ajili ya kazi ya Mungu aliyotupa. Tumekua na semina nzuri huko Makete Njombe, Tukuyu, na Chunya.. Semina hizo zilikua nzuri sana. Tumemuona Mungu akituhudumia kwa […]
BWANA Yesu KRISTO asifiwe sana.. TUNAMSHUKURU Mungu sana ambaye ametupa mwezi Huu wa Tisa. Mwezi uliopita tumekua na semina Maalumu ya watumishi Jijini MBEYA ilikua semina nzuri sana. Mwakani tunatarajia mwezi tena wa nane kuandaa tena semina ya watumishi..tuombee. Mwezi huu wa tisa tutakua na semina zipatazo tatu..tutakua Makete huko Njombe, Tukuyu mjini Wilaya ya […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni siku njema tena nimekuletea salamu za mwezi huu wa nane.. Naamini Umekua na mwezi wa saba mzuri sana, naamini mwezi huu wa nane Mungu atakupa mwezi mzuri. Pia.. Mwezi wa saba ksetu ulikua mzuri sana..Tulikua na semina nzuri sana huko wilaya ya Mbarali eneo la Chimala..Tulikua na semina ndani […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. nifuraha yetu moyoni kukualika tena kwenye kona hii ya salamu za mwezi. Mimi nafamilia yangu tuwazima.. Naamini hata wewe Mungu amekupa uzima..Naamini Mungu amekupa ulinzi na afya na uhai.. Kwetu mwezi wa sita tumekua na semina huko Tunduma,Tumekua na semina Vwawa huko mkoa wa Songwe, Na tumekua na seminana semina […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Nichukue nafasi hii kukukaribisha katika eneo hili la salamu za Mwezi.. na salamu hizi ni za mwezi huu wa sita.. Naamini umepata neema ya kuiingia mwezi huu wasita..mwezi ulio katikati ya mwaka. Kwetu Mwezi wa tano uliopita ulikua mzuri sana, kwani tulikuwa na semina nyingi mnoo..Tulianzia Dodoma huko Kibaigwa katika […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Naamini unandelea vema..ni namshukuru sana mwezi uliopita tumekua na semina nyingi mnoo..na Mwezi huu wa tano tumeendelea kuwa na Semina nyingi .. Tumekua na semina Dodoma Kibaigwa na tukaelekea Katavi huko Mpanda na hivi ninavyokuletea salamu hizi tupo Sumbawanga mjini Tunazifanya semina hizo ndani ya hema yetu inayotembea….usiache kutuombea. Nimekuletea […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Naamini unandelea vema. Na ni imani yetu kuwa mwezi uliopita ulibarikiwa na salamu zetu za mwezi tulizo kutumia. Mungu akubariki pia kwa nafasi unayoitoa kwa kusoma na hata kwa kutuombea. Nimekuletea salamu za mwezi wa nne, naomba zipokee! Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Namshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa tatu. Hebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi. Kumbuka tuna salamu zenye kichwa “WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO” Katika salamu zilizopita tuliangalia eneo la SABABU ZINAZO WEZA KUSABABISHA JERAHA NAFSINI. Na tuliiangalia sababu […]
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ninakukaribisha sana katika kona hii ya salamu za mwezi. Huu ni mwezi wa pili, katika mwezi uliopita tumekua na semina nyingi ambazo kwa kweli tumemuona Mungu. Ebu tuanze kuziangalia salamu za mwezi..kumbuka tuna salamu zenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Katika salamu zilizopita tuliona maeneo matatu […]