Category Archives: Salamu za Mwezi

Salamu – Novemba, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. mimi na familia yangu tunamshukuru sana Mungu ambaye ametupa uzima na kutulinda katika mwezi uliopita. Katika mwezi wa kumi tumekuwa na semina nzuri Chunya,Itigi na Manyoni.Semina hizi zilikua nzuri sana.Tulikutana na changamoto kubwa ya lori letu ambalo tunalitumia kubebea hema kuharibika njiani tukielekea Itigi. Ilitulazimu kukondi hema huko Itigi ili […]

Salamu – Octoba, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni neema kubwa tumepewa na Mungu na kutupa nafasi ya kuuona mwezi wa kumi. Mwezi huu nimekuletea salamu hizi. WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Salamu za mwezi ulipita nilikuonyesha namna ya kulishughulikia nafsi au moyo wako.Tuliona ili tuwena Moyo au nafsi iliyojeruhika iponywe au ilindwe tuliona kuomba. […]

Salamu – Julai, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Kabla hatujaendelea mbele nichukue nafasi hii kuwashukuru sana kwa ajili ya semina ya Mbalari Chimala..tulikua na semina nzuri sana. Nimekuletea salamu ya mwezi wa nane.kumbuka tunasomo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO MTU MWENYE MAJERAHA AU UCHUNGU […]

Salamu – Juni, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Tunamshukuru Mungu mwezi huuwa sita tumekuwa na semina nne kubwa, tumefanya semina kigoma, Katavi hapo Mpanda, Sumbawanga na Tunduma. Semina hizo zilikuwa vema sana. Tumemuona Zmungu katika semina hizo. Mwezi huu tuna semina moja Mbarali huko Chimala mkoa wa Mbeya. […]

Salamu – Mei, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Mwezi wa Tano tumeanza semina huko Kigoma. Tumeanza semina vema usiache kutuombea. Kutoka nyumbani kwetu Mbeya mpaka huko Kigoma ni safari ndefu sana. Tunamshukuru Mungu tumefika salama na tumeanza semina. Hebu tuanze kupokea salamu za mwezi wa sita. Kumbuka tuna […]

Salamu – Aprili, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu sana aliyetupa uzima na afya kiroho na kimwili. Mwezi huu wa tano tunatarajia kuwa na semina za safari ndefu sana. Mwezi wa tano ndipo tunapoanza semina za hema viwanjani. mwezi huu tunaanzia kwanza na semina ya wanawake, na tutakua huko Chimala Tarehe 12-14/5/2023, semina hii tunaiandaa sisi wenyewe […]

Salamu – Machi, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa. Namshukuru Mungu atupaye uzima. Nimekuletea salamu za mwezi wa tatu. Karibu uzipokee. Kumbuka tuna somo lenye kichwa WEKA BIDII YA KUUSHUGHULIKIA MOYO AU NAFSI YAKO Kumbuka tunaendelea kujifunza eneo lile la madhara ya kuihifadhi uchungu moyoni mwako. Hebu tuliangalie jambo lingine. 7: MTU ALIYE NA UCHUNGU MOYONI HAPOKEI JAMBO JIPYA […]

Salamu – Februali, 2023

Bwana Yesu Kristo asifiwe mpendwa.. mimi na familia yangu tunamshukuru Mungu aliyetupa mwezi huu wa pili. Mwezi uliopita tumekuwa na semina Katika kanisa la Moravian Iyunga jijini Mbeya. Tulikuwa na semina nzuri sana. Tulimuona Mungu alituhudumia vizuri sana Hebu tuanze kupokea salamu za mwezi huu wa pili fahamu Tunaendelea na salamu zenye kichwa WEKA BIDII […]